ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 5, 2012

MEGATRADE INVESTIMENT LTD WAZOA VIKOMBE MAONYESHO YA BIASHARA TCCIA MWANZA

James E. Njiu ambaye ni Senior Salea Representative wa Megatrade Investiment ltd Arusha akitamba na tuzo ya utengenezaji bora wa vinyaji vikali waliyoipata mara baada ya kushiriki maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana.Mwanza.
Wadau wa mauzo na maelezo toka kampuni ya Megatrade Investiment ltd Arusha wakitamba na tuzo ya utengenezaji bora wa vinyaji vikali waliyoipata mara baada ya kushiriki maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana.Mwanza pamoja na vyeti vya ushindi wa banda zuri Maonyesho.

Wadau wa Megatrade Investiment ltd Arusha na tuzo zao katika banda lao viwanja vya michezo Nyamagana.

Banda la Megatrade Investiment ltd Arusha ndani ya uwakilishi jijini Mwanza.

Veta na ufundi stadi kanda ya ziwa.

Goli linapogeuka kuwa henga ni ubunifu wa ziada tu unatumika...

Banda la nyenzo za Solar ndani ya maonyesho ya biashara viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza.

Mazingira ya maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana Mwanza.

Banda la Beijing China ndani ya maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana Mwanza.

Bidhaa zilizomo...

Wadau wakijichukulia bidhaa za majumbani ndani ya mabanda kwenye maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana.Mwanza.

Mdau wa banda la Tanzania Distilaries LTD akionyesha tuzo iliyotwaliwa na kampuni hiyo mara baada ya kushiriki vyema  maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana Mwanza yakitaraji kumalizika tarehe 9.sept.2012

Bidhaa bandani humo.


Banda la Chuo cha mafunzo na ufundi stadi na huduma Veta Mwanza. 

Tanapa na wananchi wake.

Kona ya mabanda ndani ya maonyesho ya biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Uwanja wa michezo wa Nyamagana.Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.