(Bofya play)
-Wakanusha makarani wa SENSA kutokea mitaa yao: wengi hawawafahamu.
-Wadai kuwa vijana hawakuchaguliwa badala yake waliopewa ni ndugu za wafanya mchujo.
-Wameamua kususia zoezi la kusimamia SENSA kwani wanafanyishwa kazi katika mazingira magumu hawalipwi posho, wametelekezwa, walaumu kutohusishwa katika uwezeshwaji tokea awali kwenye michakato.
![]() |
| Walioketi mezani mbele ni sehemu ya Wanaumoja wa Wenyeviti wa serikali za mitaa mkoa wa Mwanza waliohudhuria mkutano huo wa kutoa tamko mbele ya waandishi wa habari. |
![]() |
| Sehemu ya kusanyiko hilo. |
Tupe maoni yako




0 comments:
Post a Comment