![]() |
| Wema Sepetu katika pozi na washabiki wake mapema mchana huu. |
![]() |
| Mastaa wetu wa filamu hapa nchini,wametokelezeaje sasaaa. |
![]() |
| Kiongozi wa msafara wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Mully B akiwa na mastaa wa filamu,Wema Sepetu na Aunt Ezekiel afu fulllll BBM kama kawa. |
![]() |
| Millard Ayo akifanya mahojiano na Ray a.k.a Vincent Kigosi kuhusiana na ujio wao ndani ya mji wa Moshi |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Mr Hatman,Steve Nyerere,Bonge pamoja na Millard Ayo katika shoo love ya pamoja. |
![]() |
| Wema Sepetu akijiweka sawa. |
![]() |
| Wakiwa katika mazungumzo yao ya hapa na pale. |
![]() |
| Kila mmoja ana haki ya kupata habari na kuhabarishwa. |
![]() |
| Ha-ha-ha-ha.... |
![]() |
| Jacob Steven a.k.a Steven akifafanua jambo mapema leo mtaa wa Malindi kuhusiana na suala zima la wasanii hao kulivamia jiji la Moshi |
Tupe maoni yako


















0 comments:
Post a Comment