![]() |
| Mdau wa kwanza kuanza kung'ara na Serengeti Fiesta tisheti akikabidhiwa mzigo wake na Dj Fetty ndani ya studio za Clouds fm 88.1 Mwanza. |
![]() |
| Mdau akichonga na Dj Fetty live kupitia mawimbi ya 88.1 pale kati Mbwiga akisikilizia mapigozzz na tantalila za mdau. |
![]() |
| Time to show love. |
![]() |
| Dj Fetty na marafiki zake katika flash ya pamoko mjengoni. |
![]() |
| Ili tusikike kupitia 88.1 shughuli nzima inasimamiwa na mateknishan' Meb (L) na Jackson (R) hapa ni nje ya Kirumba Resort Mwanza |
Tupe maoni yako






0 comments:
Post a Comment