ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 12, 2012

VIWANJA VYA 88 NYAMHONGOLO PART TWO

Kaluchumvi mwaaa kalupilipili mwaa inakolea kwa shingo!

Pumpu kwaajili ya kunyunyizia dawa kwa mazao.

Wale wa kilimo kwa umwagiliaji.

Mbuzi mbegu kutoka sauzi' ndani ya banda la Wilaya ya Kwimba.

Jiko fanisi linalotumia kuni kidogo na lenye kukuwezesha kufanya shughuli nyingi hata za uokaji.

Ufugaji samaki.

ChingazzzZ.

Kamba za manila kwaajili ya uvuvi na uanikaji nguo.

MitumbazzZ na redimedi.

Parking area ata Nyamhongolo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.