![]() |
| Abiria wenzangu mtumbwini ooooh Afrika.... |
![]() |
| Mara dushwiiii... upande wa pili Luchelele nje kidogo ya jiji la Mwanza. |
![]() |
| Mie nikawa wa kwanza ili nipate picha ya usafiri wetu. |
![]() |
| Chekshia sangara mwenye viwango... |
![]() |
| Mara kabaaaa mzigo homu mwanawane.... |
![]() |
| Kwa soko la karibu itapendeza kuongeza kitu cha ndizi kuchombeza mnogo wa maakuli. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment