NDG. SAMWEL NYALLA, AMBAYE NI MKURUGENZI MSAIDIZI WA KAMPUNI YA SAHARA MEDIA GROUP YA JIJINI MWANZA NA MJUMBE WA KAMATI/TENDAJI MZFA NA TFF AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI JANA SAA 11JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO
MSIBA UPO NYUMBANI KWA BW. NYALLA ENEO LA PASIANSI JIJINI MWANZA
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NYUMBANI KWA NYALLA.
UPATAPO TAARIFA HIZI MJULISHE NA MWENZAKO ILI SOTE TUJUMUIKE KATIKA KUMFARIJI NDUGU YETU NA RAFIKI WAKATI HUU WA MAJONZI YA KUONDOKEWA NA MAMA YAKE MZAZI.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.