ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 19, 2012

STAR MAX HOTEL YAFUTURISHA MWANZA

Ikiwa ni sehemu ya sadaka Hotel Star Max ya jijini Mwanza Tanzania imefuturisha maimamu na mashekhe wa mkoa huo ili kuendeleza utii na urafiki unaosisitizwa kila kukicha na jamii yetu inayoabudu kwa jina la Mwenyezi Mungu. Pichani Bw. swai akihudumia waja wa kheri ndani ya futuru hiyo.


Wadau wakifuturika na kauli .....ni vyema kujumuika.


Brother kutoka Iqra Fm Kheri akijumuika na wadau wengine ndani ya futuru hiyo jijini Mwanza.


Hivi ndivyo Viongozi,  ambao ni Marafiki na Wazee wetu walivyojumuika katika mitaa ya kirumba ndani ya Hotel Star Max jijini Mwanza katika jioniya futuru ya pamoja iliyoandaliwa na Bwana Swai.


Moja kati ya meza zilizokuwa na mazungumzo ya kuvutia na hisia kubwa jioni tukufu.


Mc Maarufu jijini Mwanza Mc Katumba akifuturika na wadau wenzake.


Futuru ikiendelea..

Msikilize kwa kubofya play Shekhe Mkuu wa Mkoa na Kadhi wa mkoa wa Mwanza Alhaji Fereji akitoa salamu kwa waislamu na wageni waalikwa baada ya futuru Star Max Hotel.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Jamaa kafanya jambo zuri sana la kufuturisha wazee na wana Mza.Tunamuomba M'mungu amlipe kwa fadhila hizi Inshaallah

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.