![]() |
| Wadau wakifuturika na kauli .....ni vyema kujumuika. |
![]() |
| Brother kutoka Iqra Fm Kheri akijumuika na wadau wengine ndani ya futuru hiyo jijini Mwanza. |
![]() |
| Hivi ndivyo Viongozi, ambao ni Marafiki na Wazee wetu walivyojumuika katika mitaa ya kirumba ndani ya Hotel Star Max jijini Mwanza katika jioniya futuru ya pamoja iliyoandaliwa na Bwana Swai. |
![]() |
| Moja kati ya meza zilizokuwa na mazungumzo ya kuvutia na hisia kubwa jioni tukufu. |
![]() |
| Mc Maarufu jijini Mwanza Mc Katumba akifuturika na wadau wenzake. |
![]() |
| Futuru ikiendelea.. |
Tupe maoni yako








Jamaa kafanya jambo zuri sana la kufuturisha wazee na wana Mza.Tunamuomba M'mungu amlipe kwa fadhila hizi Inshaallah
ReplyDelete