ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, August 3, 2012

SIKILIZA JINSI NGASA ALIVYOMALIZANA NA AZAM NA KUSAJILI RASMI SIMBA

Mara baada ya taarifa kutoka kwenye mitandao mbalimbali zikimzungumzia MRISHO Khalfan Ngassa kuuzwa Simba kwa dau la Sh. Milioni 25 nao Azam kukiri kuwa tayari wamekamilisha dili huku winga huyo akikanusha taarifa hizo hivyo kuwaweka njia panda wapenda michezo wengi nchini. 


Sports Extra ya Clouds Fm kupitia watangazaji wake Ibrahim Masoud 'Maestro' na Jof Leah wamelifuatilia sakata hilo na hatimaye kwa kina wamekuja na taarifa kamili juu ya winga huyo. 
 Kusikiliza bofya hapa chini:-

 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.