ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, August 1, 2012

SIKIA ALICHOONGEA NGASA NDANI YA SPORTS EXTRA KUHUSU KUUZWA KWAKE SIMBA KWA MKOPO

Mara baada ya taarifa kutoka kwenye mitandao mbalimbali zikimzungumzia MRISHO Khalfan Ngassa kuuzwa Simba kwa dau la Sh. Milioni 25 nao Azam kukiri kuwa tayari wamekamilisha dili Kipindi cha Sports Extra na Clouds Fm kimezungumza na wahusika kwa kina na kutoa uchambuzi wake kuhusu hilo sakata.
Bofya hapo juu kusikiliza...

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.