Sikiliza hapa....
AJE AJE MDAU NI YULE YULE MKALI WA HIPHOP ALIYETISHA KWENYE ILE NYIMBO YA MTOTO MLITO SASA KARUDI RICHBOI AKA KINGKAPITA NA SOLO PROJECT INAITWA MTOTO WA FISADI AMBAPO ANAONGELEA MAISHA YA JAMII YA TANZANIA UPANDE WA MTOTO WA FISADI NA UPANDE WA WATOTO WA MASKINI...NAOMBA SUPPORT YAKO POPOTE ULIPO ASANTE SANAAA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.