![]() |
| Shekhe Mkuu wa Mkoa na Kadhi wa mkoa wa Mwanza Alhaji Fereji akitoa salamu kwa waislamu na wageni waalikwa baada ya futuru jana jioni ndani ya Mwanza Hotel. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza kwenye hafla hiyo fupi ya futuru iliyoandaliwa na Bw. Mwita Gachuma. |
![]() |
| Baadhi ya waalikwa wakipata futari... |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akizungumzia kuhusu Sensa baada ya kumaliza kupata futari. |
![]() |
| Mzee maarufu akiwa anafuatilia kwa makini salamu za Kadhi Mkuu na Shekhe wa Mkoa wa Mwanza Alhaji Fereji. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment