![]() |
| Mafundi wa kampuni ya Jasco wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Libert jijini Mwanza. |
![]() |
| Barabara ya Libert kutokea barabara ya Uhuru inavyoonekana sasa kufuatia kuendelea kwa ujenzi wake unaofanywa na kampuni ya Jasco ya jijiniMwanza. |
![]() |
| Eneo la barabara ya Uhuru kuelekea Mlango mmoja jijini Mwanza, ambalo limekuwa ni sehemu korofi ambapo kwa sasa inakarabatiwa kutokana na kuwa kero kubwa wakati wa mvua zinaponyesha. |
![]() |
| Mafundi wakitandaza nondo ili kumwaga zege kudhibiti eneo hilo katika barabara ya Uhuru jijini Mwanza ambalo limekuwa kero kupitika wakati wa mvua zinaponyesha. |
![]() |
| Kwa wateja wanaofika katika Hotel ya Yung Lhong iliyopo katika eneo la Caplipoint jijini Mwanza kwa wale waendao kuchimba dawa hukutana na......... |
![]() |
| Kwa wale ambao hawajapata vazi rasmi la Eid el Fitri watembelee mtaa wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza. |
![]() |
| Mmoja wa wadau wa blog hii Selemani Fish akivinjari na 'mkoko' wake katika makutano ya barabara ya Libert na Uhuru jijini Mwanza kama alivyokutwa na kamera ya blogu yako. |
![]() |
| Blogu hii inawatakia kheri ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani marafiki wote wafuatiliaji wa matukio hapa:- Ramadhan (Villa Park), Jackson Mbando (Airtel), Abdalah Tilata na Muhksin Mambo (Star Tv) |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment