Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya kulia akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam jana
Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment