![]() |
| Jamani hizi chabo ni balaa kwenye chumba cha mtihani |
![]() |
| Wakati mwingine yuko bize anaumiza kichwa darasani mwingine kiurahisi anahamisha tuuu..! |
![]() |
| Chabo kwa akina dadaz kwa pajaz..aaaah eti ndomana wanafaulu sana siku hizieeeeeeeh!!!? |
![]() |
| Una ujasiri wa kukusachi hadi huku wanafunzi 150?...mmmh |
![]() |
| Dah 'kibomu' kimenaswapo.... |
![]() |
| Wale wa kanuni...leoleo.. |
![]() |
| Hata pale simu zilipo katazwa kutinga chumba pepa uhamishaji uliendelea kama kawize... |
![]() |
| Huko nchini japani wasimamizi wa mitihani huingia na vifaa maalumu vya kufanyia ukaguzi kugundua vifaa vya elektoniki kwa watahiniwa. |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment