![]() |
| Tukiwa katika moja kati ya viota tulio chagua kupata msosi adimu toka kwa wapishi wilayani Tarime mkoani Mara. Kutoka kushoto ni Gamaina, Henry Kavirondo, Peter Katulanda na G. Sengo |
![]() |
| Mwanza ndogo ndani ya Tarime. |
![]() |
| Ni branch ya Mwana Hip hop Roma Mkatoliki au ama!? |
![]() |
| Mitaa yetu Tarime. |
![]() |
| Biashara ya mambo ya ujenzi. |
![]() |
| 'Aaaaah... Rastafarian' |
![]() |
| Kitu spesheli majira ya jioni... |
![]() |
| Biashara stendi ya mabasi Tarime. |
![]() |
| Lango kuu kuingia Jengo la Posta Wilayani Tarime. |
![]() |
| Jengo kamili. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment