| Gari la kurusha matangazo live bila chenga likiwa eneo la Komesho, Tanga ambapo matangazo yalikuwa yanarushwa moja kwa moja kutoka Tanga. |
| Kila kijana alipata nafasi ya kuonyesha kipaji chake. |
| Gossip Cop TZ, Sudi Brown akionyesha manjonjo yake katika staili yake ya ninja. |
| Katika burudani ya nje, hakuna aliyetaka kupitwa. |
| Wananchi wakifuatilia kwa makini. |
| ...haya twendeee |
| Show love nayo ilikuwepo. |
| Mwanadada akionyesha umahili wake wa kudata na biti hadi Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akamkubali. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment