Mh. Lawrance Masha akichukuwa fomu kugombea nafasi ya U-NEC Wilaya ya Nyamagana kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana Deogratius Lutta tukio hilo limefanyika leo katika ofisi za CCM Nyamagana jijini Mwanza.
Mh. Lawrance Masha akisaini kwenye daftari la waliochukuwa fomu kugombea nafasi ya U-NEC kupitia Wilaya ya Nyamagana mbele ya Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana Deogratius Lutta (aliyeshika kichwa) sambamba na wadau wengine walio msindikiza kukamilisha zoezi hilo.
Mchakato wa kugombea nafsi ya U-NEC wilaya ya Nyamagana ni pamoja na Bw. Emmanuel Masalu Ngofilo, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mahina Bw. James Bwire, Bw. Bakari Kimwaga, Afisa Uhusiano wa MWAUWASA Bw. Robert Maswanya na Othman Ally. Wengine ni Faraj S Faraj, Moric Deya, James Joseph Nyamasiriri na Lawrance Masha aliyechukuwa leo.
Mh. Lawrance Masha
Sikiliza hapa wakati akizungumza na waandishi wa habari. (Bofya Play)
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
0 comments:
Post a Comment