ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 19, 2012

EID MUBARAK WOTE


Kwa niaba ya Timu yote ya Utendaji G. SENGO BLOG Tunawatakia wadau wote wanachama waliojisajili na wasiona usajili bloguni humu na kwa dhati ndugu zetu Waislamu pote Tanzania na nje ya Nchi sikukuu njema ya Eid Mubarak!
Mwenyezi Mungu awazidishie kila palipopunguka na kuwajaza kheri na baraka tele kwa kumaliza Mfungo Mtukufu wa Ramadhani na wanao endelea na fungo sita ikiwa nikukamilisha nguzo tano za uislamu.
Inshahlah
Eid Mubarak!
Says Albert G. Sengo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.