ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 8, 2012

WEMA V/s JACK NGOMA DROO

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpambano wao
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni ngoma Droo.

Wema na wolper katika alama za freemason
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu

Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.