| Maharusi wakiingia ukumbini |
| Maharusi wakikata keki |
| Maharusi wakilishana keki |
| Ni wakati wa Toss na Mkurugenzi wa Hotel ya kisasa ya Gold Crest Mathias Manga |
| Benard James na Magdalena katika pozz la picha |
| Meneja Rama wa Villa Park Mwanza na Mdau nao walikuwepo |
| Bendi hii ilikamua vilivyo |
| Wafanyakazi wa Star TV na RFA wakijiandaa kutoa zawadi, kutoka kulia ni Yvonne Kamuntu, Merrycian Gabriel, Deborah Mpagama na Violeth Shinji |
| Bwana harusi Benard James akitoa utambulisho wa wazazi wake |
| Bi, Harusi Magdalena akifanya utambulisho wa wazazi wake |
| Wazazi upande wa Bwana harusi |
| Mwanakamati Gabriel Yotham akiwa na mwanakamati mwenzake wakitafakari jambo |
| Mc Magoma, MC Washughuli |
| Flowers wa Star TV, kutoka kulia ni Kisali Simba, Everlyn Mancheye na Violeth Kimwaga |
| Maharusi wakiwa katika nyuso za furaha |
| Wafanyakazi wa sahara Media Group wakiingia katika utoaji wa zawadi |
| Wafanyakazi wa Sahara media group pia walitoa zawadi ya Kampuni |
| Ilikua ni kuselebuka tuuuu!! |
| Nyuso za furaha tena!! |
| Ni shara tosha maharusi hawa wanapendana!! |
| Wazazi wakipata picha ya pamoja |
PICHA NA THE BIG TOP TEN
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment