Wadau wa mkoani Mbeya wakishoo love mbele ya kamera ya Fullshangwe. |
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Manchester United na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wa fainali ya bonanza hilo. |
Mchezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Manchester United akiukokota mpira wakati wa mchezo wa fainali dhidi ya timu ya mashabiki wa Barcelona kwenye viwanja vya TIA jijini Mbeya leo. |
Mashabiki wa Manchester United wakishangilia kwa nguvu mara baada ya timu ya kutinga fainali ya bonanza hilo. |
kutoka kulia ni Freddy Richard wa SBL Mbeya, Alex Lwambano, Sebastian Maganga na Jonathan Maselle SBL Mbeya wakifuatilia jambo katika tamasha hilo. |
Mashabiki wa tamasha la serengeti Fiesta Soccer Bonanza wakifuatilia matukio mbalimbali katika tamasha hilo. |
Akiana Meku wanapokutana ni kupanga dili ya hela tu hebu wacheki akina Meku hawa wanapanga dili za hela au wanafurahia maisha. |
Mashabiki wa Bonaza hilo wakiwa wamefurika katika viwanja vya TIA jijini Mbeya. |
Mtangazaji wa Clouds na mratibu wa tamasha la serengeti Fiesta Soccer Bonanza akimhoji mmoja wa mashabiki wa timu ya Iner Milan ya Italia mabayo mwaka huu haikushiriki katika bonanza hilo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.