ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 15, 2012

KAMATI YA BUNGE MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA TAN MEDIA COMUNICATION


Kamati ya kudumu ya bunge maendeleo ya jamii, ikiwa inawasili katika kituo cha kurushia matangazo cha Tan Media Comunication (Radio 5) ambapo walikuwa na ziara ya kutembelea kituo hicho na kujionea mambo yaliyopo na yanayofanyika hapo



Wajumbe wa kamati wakiwa wanapita katika vyumba mbalimbali vya jengo hilo la Tan media comunication (radio 5) kuangalia vifaa vya kituo hicho


Wajumbe wa kamati ambao ni wabunge wakiwa wameketi katika kikao kifupi cha kuelezewa kazi zinazofanywa na Tan media


Kamati ya bunge pia ilipata fursa kutembelea chumba ambacho kitatumika kwa ajili ya televisheni ambayo inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni pichani Mkurugenzi wa Radio 5 Roberty France akitoa maelezo ya manufaa kwa wajumbe hao akiwemo Mbunge wa Kondoa Juma Ngamia pamoja na mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari.


Mkurugenzi wa radio 5 akiteta jambo na katibu wa kamati hiyo.


Mahojiano time na Radio 5 Arusha ambapo Mbunge wa jimbo la Nchinga Lindi akiwa akifanya mahjiano katika studio za radio 5.

Picha zote na Woinde Shizza, Arusha

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.