ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 25, 2012

INJINIA EVARIST NDIKILO AONGOZA MAADHIMIMISHO SIKU YA MASHUJAA NGAZI YA MKOA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akiweka Ngao ya asili (moja kati ya zana za kale za vita) kwenye nnara wa Mashujaa ikiwa ni moja ya vitendo vya  maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Mwnyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Mh.Mabina akiweka Upinde na Mshale (moja kati ya silaha za kale za vita) kwenye nnara wa Mashujaa ikiwa ni moja ya vitendo vya maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Kiongozi wa jadi Charles Balele akiweka Sime (moja kati ya zana za kale za vita) kwenye nnara wa Mashujaa ikiwa ni moja ya vitendo vya maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Riberatus Barrow akipiga saluti mara maada ya kuweka shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa waliotutangulia wakilipigania Taifa letu.


Shekhe wa Mkoa wa Mwanza Alhaj Salum Hassan Fereji akiweka shada la maua kwa kumbukumbu ya Mashujaa waliotutangulia wakilipigania Taifa letu.


Mwakilishi toka CCT Mchungaji Henry akiweka shada la maua kwa kumbukumbu ya Mashujaa waliotutangulia wakilipigania Taifa letu.


Mkuu wa wilaya ya Nyamagana akiweka shada la maua kwenye mnara wa mashujaa kama kumbukumbu ya Mashujaa waliotutangulia wakilipigania Taifa letu.


Picha ya pamoja ya wakuu wa wilaya mbalimbali za jiji la Mwanza pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Maafisa wa majeshi mbalimbali wakipata picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Picha ya pamoja na sehemu ya waandishi wa habari.
Wanafunzi wa shule ya Alliance Accademy ya jijini Mwanza wakiongoza umma wa Mwanza uliofika kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Heshima ya wakuu wa wilaya kwa wimbo wa taifa kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya mashujaa nchini ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika mnara wa Mashujaa wa kipitashoto kinachounganisha barabara za Nyerere, Kenyata na Makongoro jijini Mwanza .


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukamilika kwa maadhimisho hayo kwa ngazi ya mkoa ambapo kitaifa yamefanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.

Kumsikiliza mhe. Ndikilo bofya hapa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.