TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC) imeidhinisha pambano kadhaa
ya ubingwa na yasiyo ya ubingwa ambayo yatafanyika siku ya Idd mosi na idd pili
jijini Tanga.
Mapambano hayo yanaandaliwa na Mwanzoa Boxing Promotion ya jijini Tanga. Mgeni Rasmi katika mapambano haya ni bondia wa zamani ambaye aliwahi kunyakua medali ya shaba katika mashindano ya ngumi za ridhaa barani Afrika Bakari Mambea.
Mambea anayeishi jimbo la Philadelphia nchini Marekani ambako alipelekwa
kwa ufadhili wa TPBC pamoja na Diwani wa kata ya Kigogo Richard Chengula, ni
mfanya biashara nchini humo baada ya kustaafu ngumi.
Mambea alikwenda nchini Marekani mwaka 2003 akifuatana na bondia mwingine
wa Tanzania Rogers Mtagwa ambaye kwa sasa bado anapigana ngumi za kulipwa nchini
Marekani.
Orodha ya mapambano hayo ni kama ifuatavyo:
Orodha ya mapambano hayo ni kama ifuatavyo:
Venue: Community Center Makorora
Promoter: Mwanzoa Boxing Promotions
Date: 19/08/2012
1. Ibrahim Habibu (DSM) Vs. Abdallah Mapoka (Tanga), Super bantamweight (4 rounds)
2. Salim Sarai (Tanga) Vs. Mohammed Kidari (Tanga), Light welterweight (4 rounds)
3. Lucas Michael (Tanga) Vs. Fundi Khamis (Tanga), Featherweight (4 rounds)
4. Mindu Simba (Tanga) Vs. Adamu Yusufu (Tanga), Super Featherweight (4 rounds)
5. Puguto Omari (Tanga) Vs. Patrick Kimweri (Tanga), Bantamweight ( 6 rounds)
6. Zuberi Mohammed (Tanga) Vs. Khamis Daudi (Tanga), Bantamweight (4 rounds)
7. Muhidini Nassoro Vs. Bonzo Mohammed, Super Bantamweight (8 rounds)
8. Kinyampiro Mwakizaro Vs. Denis Mwelondo, Superbantamweight (4 rounds)
9. Hassan Ngonyani Vs. Faisal Awadh, Bantamweight (4 rounds)
10. Bakari Masamaki Vs. Mwali Juma, 57 Super Bantamweight (4 rounds)
11. Sero Manpacyao Vs. Rama Nyuki, 48 kgs, Mini-flyweight (4 rounds)
12. Mashaka Spoiler Vs. Godfrey Mgunga, Light Middleweight (4 rounds)
13. Cholonae Kilo Vs. Mohammed Mpemba, Light Welter weight (4 rounds)
Main Card
1. Bakari Shendeka Vs. John Mbwana, Bantamweight (10 rounds)
Ubingwa wa Kanda ya Kaskazini
**************************************************
Venue: Community Center Tanga, Makorora
Promoter: Mwanzoa Boxing Promotions
Date: 20/08/2012
Supporting Card
1.
Ali Yusufu Magoma Vs. Saimon Zabon, Lightweight (4
rounds)
2. Selemen Hamza vs. Amos Andrea, Super Bantamweight (55 4 rounds)
Main Boxing Card:
1. Said Mundi (Tanga) Vs. Rashid Ali (DSM), Lightweight (10
rounds)
Ubingwa wa Kanda ya Kaskazini na Mashariki
2. Haji Juma (Tanga) Vs. George Massawe (Arusha), Super Bantamweight (10 Rounds)
Ubingwa wa Afrika ya Mashariki
3. Allen Kamote (Tanga) Vs. Athumani Rashid (Tanga), Lightweight (10 rounds)
Ubingwa wa Taifa
4. John - James Ngotiko (DSM) Vs. Anthony Mathias (Tanga), Bantamweight (10 rounds)
Ubingwa wa taifa
5. Jumanne Mohamed (Tanga) Vs. Rajabu Maoja (Tanga), Featherweight (10 rounds)
6. Zuberi Kitandula (Tanga) Vs. Hemedi Kangeta (Tanga), Junior Bantamweight (10 rounds)
Ubingwa wa taifa
7. Khamisi Mwakinyo Vs. Mohammed Meme, Welterweight (10 rounds)
KATIKA JIJI LA Dar-Es-Salaam
Venue: Uwanja wa Chuo cha Bandari Temeke
Date: Sikukuu ya Idd El Fitri
Wanadaaji: SHIWATA
Kibali: Kamisheni ya Ngumi za kulipwa nchini Tanzania (TPBC)
Lengo: Kukusanya fedha za Ujenzi wa nyumba za kisasa zagharama nafuu kwa ajili ya Wasanii, Waandishi wa Habari na Wanamichezo katika Kijiji cha Mwanzega, Mkuranga.
PAMBANO KUBWA:
Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) na David Michael Mlope (Zola D – King)
Ubingwa wa taifa uzito wa (Heavy weight) raundi nane (8)
Kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi
Imetolewa na:
Utawala;
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.