ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, June 5, 2012

KAMERA YETU

 Duka la dalali wa viwanja, mashamba na nyumba KISESA.

 Kiwanda na duka la majiko na makarai IGOMA .

Chanzo cha maji kwa watu wa eneo mojawapo katika kijiji cha KISESA wilayani Magu.

Mkoko wa juu ya mawe.

 Mizani ya mabondo aka vyuma chakavu na plastiki.

 Mchana kweupeee vijana nguvu kazi kwa taifa inatumika kwenye pool table katika eneo la KISESA.

Tizama mifereji kisha tulalamike kuhusu mafuriko...
Mitaro ya maji machafu imegeuka kuwa mashimo ya taka.
Moja ya hoja binafsi iliyo wasilishwa majuzi na kuungwa mkono na madiwani wote kwenye Baraza lao lililofanyika hivi majuzi ni kuwa kila kata ianze kuwatumia vijana wasio na ajira kuzibua mitaro kwa vifaa maalum na kulipwa na halmashauri hiyo kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya ajira nchini, hoja iliyowasilishwa na diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha, kiukweli hoja hiyo itakuwa na manufaa kwa jamii hata kutuepusha na mafuriko.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.