ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 23, 2012

CHEREKO LA NDOA YA FRANCO R. & BI. AJUNA R.



Bwana Franco Ruhinda akiwa na mkewe Ajuna Reguza wakionyesha cheti chao cha ndoa mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bwana Franco Ruhinda akiwa na mkewe Ajuna Reguza wakionyesha cheti chao cha ndoa mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bwana Franco Ruhinda na mkewe Ajuna Reguza wakikabidhiwa cheti chao cha ndoa na mchungaji wa kanisa hilo, mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bwana Franco Ruhinda akitia saini cheti cha ndoa yupa yake anayemshuhudia ni mkewe Ajuna Reguza pampja na mchungaji wa kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bi. Ajuna Reguza wakisaini cheti cha ndoa mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bi. Ajuna Reguza akisoma kiapo wakati akifunga pingu za maisha na mumewe Bw. Franco Ruhinda katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bwana Franco Ruhinda akivalisha pete mkewe Ajuna Reguza wakati wakifunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bi. Ajuna Reguza akivalisha pete mumewe Franco Ruhinda ikiwa ni ishara ya kuwa pamoja wakati wakifunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.


Bwana Franco Ruhinda akiwa na mkewe Ajuna Reguza wakitoka kanisa. Picha/www.kajunason.blogspot.com

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.