ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 28, 2012

KUELEKEA FAINALI WAREMBO MISS NYAMAGANA WATEMBELEA MBUGA ZA SERENGETI

Katika kuboresha zaidi ufahamu wa rasilimali zilizopo nchini katika sekta ya Utalii warembo wa kinyang'anyiro cha miss Nyamagana kinachotaraji kufikia tamati Ijumaa hii ya tarehe 1/06/ 2012 ndani ya Gold Crest Mwanza, wametembelea mbuga za wanyama Serengeti kujionea mazuri ya Taifa lao.

Ziara hiyo imekuja kama sehemu ya somo kwa vitendo na si nadharia ili kuweza kulielezea vyema taifa lao na si kwa hisia kama mashindano kadhaa yalopita...

Warembo miss Nyamagana wakipata flash na moja kati ya watalii toka nje ya Tanzania.

Kujimix time....

CEO wa The big top ten Muhksin Mambo akishow love na warembo miss Nyamagana.

Macho ya watalii wa ndani warembo wa miss Nyamagana yalifanikiwa kuona maadhari hii...

Tembo...

Ndani ya Usafiri kuzuru mbuga ya Serengeti.

Pozzi na mapozesi.

Jeh! ni nani kati ya hawa kuvishwa taji la Miss Nyamagana 2012? 
Jibu kupatikana  Ijumaa hii 1/06/2012 katika ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest Hotel Mwanza.
"Njoo ukiwa umevunja kabati tupate picha kali kwa blogu na maface buku..."

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.