ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 29, 2012

KANGAROO WOMEN EMPOWERMENT ASSOCIATION (KWEA) YAPANIA KUBORESHA MAISHA YA WANAWAKE MWANZA


 Keki maalum iliyoandaliwa na wanachama wa KWEA kwa ajili ya usiku huo.

Mwenyekiti wa KWEA Adelina (aliyesimama) akitambulisha wanakikundi, walioketi ni moja kati ya akina mama wajasiliamali mfano wa kuigwa na wanawake wa jiji la Mwanza.

Kangaroo Women Empowmment Association (KWEA) seek to be an organisation with a culture in which all women can enjoy their right, independence and the opportunity to fulfil their potentiel, in a safe and just environment, were discrimination and inequality does not exist.

Katikati ni mgeni rasmi Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na watoto mh. Ritah Mlaki na kushoto ni mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live (Chanel Five) ambaye pia ni mjasiliamali nchini Joyce Kiria, kisha kulia ni mwenyekiti wa KWEA Mwanza bi. Adela Kailamuna.


Baadhi ya akinamama walio hudhuria hafla ya Ladies Talk Dinner and Dance ya KWEA iliyofanyika katika Ukumbi wa juu New Mwanza Hotel.
 Wadau wanawake Mwanza.

Keki hiyoooo.. toka shoto ni Zena Kyobya, Mwanabure, Vailet Gyumi.

Meza za wana Mwanza.

Picha kwa kumbukumbu.

KWEA is a Voluntary, Charitable and Non Government Organization that has bee established to help disadvantaged woman in Tanzania.

Picha ya pamoja wanachama wa KWEA kutoka kushoto Nelly, Mwanabure, Shufaa, Vailet,  Doreen, Summa na Catherine.

Tupe maoni yako

4 comments:

  1. picha hizi quility yake very poor!

    Jitahidi kutumia mtambo mzr kama wa picha hizo hapo chini

    big up

    ReplyDelete
  2. big up KWEA team. tunategemea mambo mazuri zaidi.

    ReplyDelete
  3. Naomba kukusahihisha, Rita Mlaki si waziri wa wizara yoyote ile!!

    ReplyDelete
  4. Tatizo haikuwa mtambo ilikuwa seting, lakini nashukuru saaaaaana mdau wangu kunistua kwani hii ni blogu yako .....big up

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.