Huyu jamaa amekufa (Stephen Kanumba), nilitegemea matangazo yake yangesitishwa kwa kifo chake, je sheria na tamaduni vinasemaje? Tangazo hilo la Startimes kwenye kishikizo lipo kituo cha daladala mwenge.
mkataba haujaisha... istoshe inamaana hilo ni tangazo la biashara... na sura yake hapo ndo inauza... inamaana mbon anyerere na watu maarufu wengine hawapo lakini sanamu zao zinaendelea kuwepo? FUNGUKA WW
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
-
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi
kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku
mbili katika...
Inawezekana alikuwa na mkataba ambao alishachukua malipo yake yote, je familia itarudisha pesa pamoja na fidia au tangazo lieendelee tu
ReplyDeletemkataba haujaisha....
ReplyDeletemkataba haujaisha... istoshe inamaana hilo ni tangazo la biashara... na sura yake hapo ndo inauza... inamaana mbon anyerere na watu maarufu wengine hawapo lakini sanamu zao zinaendelea kuwepo? FUNGUKA WW
ReplyDelete