Kampuni ya BigRight Promotion kupitia kwa mkurugenzi wake Ibrahim Kamwe imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa kilichotokea jana (Mei 11 mwaka huu).
Kwa niaba ya mabondia, makocha na mapromota wa masumbwi nchini tunawataka familia ya Rachel na Kampuni ya New habari wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Tunatoa POLE! -
MUNGU AILAZE
ROHO YA MAREHEMU RACHEL PEPONI - "ameeein"
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.