Mkurugenzi wa Gold Crest Hotel akikaribisha mashabiki wa burudani waliohudhuria ukumbini hapo kumshuhudia Diamond The Platnum, aliyesimama katikati ni Mr.George meneja wa burudani na kulia kabisa ni Mc Stoper.
On the stage.
Ze pipo..
Mdau akimwaga maheraaaa!!!
Diamond alizigeuza noti za elfu kumikumi kuwa Kapeti lake kwa stage.
Ze style..
Mara Puuuh!!
Mtoto huyu mara baada ya kuchenguka aliamua kujitosa pale kati..
Flawaz na wengine wakijumuika na The Platnum katika kwaito.
Brothersz wawili toka vyombo viwili tofauti vya habari wakigida mvinyo wa aina mbili tofauti toka makampuni mawili tofauti ya utengenezaji viburudishoZZZzzz..
Madj's waalikwa wanaoitwa Pro 24 Djs, Dj Tass mwenye Tshirt nyeupe na Dj Crazy.
Makamuzi jukwaani
Flawaz walilipusha shangwe kwa kila wimbo wa Diamond.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.