Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustini Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mbunge wa Viti Maalum, Al-shymaa Kwegiyr, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwapongeza wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Said Elmaamri, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Muhidin Sufiani. OMR
ULEGA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI BRT4
-
• Ataka ripoti ya wasimamizi na washauri wote
• Akerwa na uzembe wao unaosababisha misongamano
• Aeleza jinsi Rais Samia anavyoumia kwa foleni mijini
Na Mwa...
Piga Mkwanja Mrefu Ijumaa ya Leo
-
IJUMAA ya leo ni ya moto sana ndani ya Meridianbet kwani mechi za kibabe za
kukupatia mzigo wa maana zipo. Kuanzia pale EPL na kwaingineko ni moto juu ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.