Ni barabara ya vilima vya Nyanshana kuelekea jeshini.
Barabara ya kiwango cha udongo yenye mifereji ya mawe.
Wakazi wa milimani wengi wao wamejenga nyumba zao bila ramani na katika viwanja visivyopimwa wengi hawana vyoo vinavyokubalika kiafya na hivyo misimu kama hii hutumia kufungua maji hayo machafu aka kutapisha vyoo.
Sehemu kubwa ya bararaba inazidi kumegwa na mvua huku mufereji ikizidi kuathirika.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.