Tupe maoni yako
Malaysia yaidhinisha msako mpya wa ndege iliyopotea 2014 ya MH370
-
Ndege ya Shirika la Ndege la Malaysia MH370 ilitoweka Machi 2014 ilipokuwa
ikielekea Beijing kutoka Kuala Lumpur ikiwa na watu 239.
3 hours ago
Sherehe za leo kilio cha kesho wacha wakusanye machozi
ReplyDeleteSafari hii wachague mawili kuondoka madarakani kwa aibu au kishujaa kwa kuwawajibisha mafisadi? kwani siku zao madarakani zinahesabika wapende wasipende
ReplyDeleteKuna wakati namtafakari huyu Bw.Pinda nagundua kuwa ana unafiki katika mambo mengi, anayotuahidi wananchi sio anayoyafikiria juu ya kuwatendea wananchi. Ipo siku, ukweli utasimama. Kwa sasa ukisema jambo lolote lenye maslahi kwa taifa lakini ni lenye kukosoa serikali, unaambiwa wewe ni mchochezi na tena una husishwa na upinzani. Tujiulize, kwenye nyumba zetu hatukosoani pale tunapokosea? Tukifanya hivyo je tunakuwa wapinzani wa nyumba zetu au? Sasa, wabadhirifu wale wale ndo wataandaa bajeti mpya na kurudia madudu yale yale. EEH MUNGU, FUNGUA MIOYO YA WAKUBWA WAPATE KURUDIA UTU KAMA WA MUASISI WA NCHI.
ReplyDelete