Bondia Tomasi Mashari akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na SElemani Galile kesho.
Bondia Tomasi Mashari kushoto na Selemani Galile wakiwa wameshikilia mkanda wa upingwa wa taifa utakaofanyika kesho katikati ni promota wa mpambano huo Prospa Rweimamu.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
KATIKA PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI DR KAMALA
-
Ni Simanzi kubwa mapokezi ya Mwili wa Balozi Kamala
Jeneza lenye Mwili wa mpendwa wetu
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto Siima amewaongoza wananchi katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.