Kulia ni Msanii Profesa Jay na kushoto ni Mkubwa Fella meneja wa kundi la TMK Family wakimkabidhi tuzo Roma Msanii wa muziki wa Hiphop aliyejishindia tuzo ya msanii bora wa Hiphop.
Mwanamuziki Diamond (kulia)akipokea tuzo yake kutoka kwa George Kavishe meneja wa bia ya Kilimanjaro mara baada ya kutangazwa mshindi wa utunzi bora wa wimbo katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanamuziki bora Kilimanjaro Music Award 2012.
Mwanamuziki Diamond akipiga picha na mama yake wa pili kutoka kushoto na Mkurugenzi wa ASET Asha Baraka kutoka kulia pamona na wanenguaji wake mara baada ya kupokea tuzo yake ya utunzi bora wa wimbo.
Mdau Kelvin Twisa ndani ya nyumba pia.
Produser P. Funk na Mwanahip hop J. MooKWA HISANI YA www.kajunason.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment