Kauli ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa enzi za uhai wake wakati akiachia madaraka alinene hivi... na nukuu yake ikaandikwa katika moja ya eneo la jukwaa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kama kumbukumbu, Jeh kauli hii ina maana gani kwa watu wa kizazi hiki?
Tupe maoni yako
Ni ukweli usio pingika.... Angalia sasa watu wasio waaminifu waliopewa madaraka wameamua kukwapua fedha za walipa kodi wapendavyo!!!!
ReplyDeleteRAIS KIKWETE AUWEKE KANDO UPOLE WAKE,,,,,,, vinginevyo nchi itapasuka mikononi mwake
CHADEMA CHUKUA NCHI MARA MOJA
BY MKINGA DEO Igunga