ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 11, 2012

TOTO AFRICANS NA SIMBA ZATOKA SARE

Wachezaji wa Simba ta Toto Africa ya Mwanza wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.

Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja.

Kikosi cha timu ya Toto Africa ya Mwanza kikiwa katika picha ya pamoja.

Mchezaji wa timu ya Simba Felix Sunzu akimtoka beki wa timu ya Toto Africa ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha na hakuna timu iliyofanikiwa kupata goli katika dakika tisini matokeo yamekuwa 1-1.Kocha Milovan ameipongeza timu ya Toto Africa kwa kucheza vizuri, wao walitaka kushinda lakini hawakuweza kufanya vizuri.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.