Mkurugenzi wa FPLUS ENERTAINMENT Fabian Fanuel (kulia) anayejishughulisha na Promosheni za muziki wa Injili kwaya mbalimbali Kanda ya ziwa akiwasilisha mapendekezo ya kukubalika ndani ya familia ya Wana Mwanza Kwanza kwa Mwenyekiti wa Umoja huo Philbert Kabago.
Tukio hilo likifanyika tayari Tasnia ya Filamu inatambulika katika familia ya Mwanza Kwanza na hapa ni baadhi ya waigizaji wa filamu na michezo mbalimbali wa kundi la EX2 ENTERTAINMENT GROUP, moja ya makundi yaliyomo ndani ya familia ya Mwanza Kwanza.
Muziki wa Kizazi kipya ndiyo chachu ya aidia ya Mwanza Kwanza.
MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU
-
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Idara inayohusu Sayansi na Teknolojia
imetengeneza mwongozo wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Taasisi zake
za E...
MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU
-
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Profesa Peter Msofe,
akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Ubunifu ya Chuo Kikuu cha
Afya na S...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.