Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu walioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.
Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kulia) akizungumza na Wazazi na Wanafunzi pamoja na Bodi ya Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Bi. Anifa Kombo na Mjumbe wa Bodi ya PSPF Bw. Ramadhani Maneno.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Haya tumalize utata... (Picha na Mpigapicha Wetu)
WAZIRI SANGU: MADEREVA 800 WAAJILIWA QATAR
-
Na. OWM-KAM, Dar es Salaam
Serikali ya Awamu ya Sita imesema inajivunia ushirikiano wa kidugu ulipo
kati yake na Taifa la Qatar ambao umesaidia kukuza dip...
WAZIRI SANGU: MADEREVA 800 WAAJILIWA QATAR
-
Na. OWM-KAM, Dar es Salaam
Serikali ya Awamu ya Sita imesema inajivunia ushirikiano wa kidugu ulipo
kati yake na Taifa la Qatar ambao umesaidia kukuza...
Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za NBAA
-
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Laurent Luswetila ( kulia),
akikabidhi tuzo ya mshindi wa pili wa Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Fedha...
0 comments:
Post a Comment