Ameanza muziki mwaka 2005 akiwa Mwanza Tanzania
Wimbo wa kwanza Utaniumiza, studio Mo-Records baadaye akafanya project yake chini ya Sam Timber ngoma iliyoitwa Forgive me, kisha wimbo Mrembo, mara baada ya hapo alisaini lebo Young Don Records nakuachia hits Mtima Wange ambapo pia alifanikisha video yake.
Baada ya kutokuelewana na Young Don akasain out.
Safari hii kakutana na Producer nambari moko town Producer Lamar na kukubaliana kufanya anaza’ project songi linaitwa ‘Mama Mwenye nyumba’ ambalo lipo hewani hivi sasa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.