Ni kitu kipya katika soko kinatambulishwa kwenu na kampuni ya Serengeti Breweries Limited ndani ya jiji la Mwanza, Kitu kinaitwa Senatar Extra Lager Bia ina alkohol 6 mwanawane.
Bia mpya Senator Wau!!!!!
Wadau mbalimbali walihudhuria kusanyiko hilo la kibiashara lenye mlengo wa kutambulisha kitu kipya sokoni fahari ya wafanyikazi na wakulima wenye nia na malengo ya kuinua uchumi wa taifa letu.
Umakini ulitawala pale mzigo mpya ukitambulishwa sokoni...
Bia hii inatengenezwa kwa shairi na ngano nayo itasambazwa kanda ya ziwa kuwanufaisha wadau muhimu fahari ya taifa letu.
Itauzwa sh 1300 kwa watumiaji wa rejareja nao uzinduzi kufanyika rasmi january 2012.
Wadau hawa si wengine jamani ni wakulima, wavuvi na wafanyakazi wavuja jasho walio fahari ya taifa letu.
Hivyo tunawakaribisha wawe karibu nasi kuifaidi ladha halisi iliyo ndani ya bia nzuri Senetar......
Meneja Masoko Efraim Mafuru akimalizia jambo kupitia maelezo elekezi.
talk time SBL team.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.