ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 20, 2011

SAKATA LA MAFUTA MSITUFANYIE KIHIVYO.

Hivi Serikali imelala usingizi gani huo mzito hadi wamiliki wa vituo vya mafuta wanapata kiburi kugoma kutoa huduma hiyo?

Kwa migomo kama hii ya mara kwa mara inawezekana Serikali yetu Tz imewekwa mfukoni na Atajiri wachache wa Mafuta?....!!!

Rais Jakaya Halfani Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda mbona hatuoni makali yenu? Ngeleja Upo wapi hadi uji wa mgonjwa unamwagiwa mchanga…..?!!!!...!!!

TAFAKARI CHUKUWA HATUA KABLA KENGELE HAIJA LIA….Konng….kONNg’’’!!!!!

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. ni ukurasa baada ya ukurasa wa mateso kwetu wananchi,tumechoka.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.