Waungwana leo ni BorzDEi ya mtangazaji wa Star Tv FATMA SHAMWETA kama mna namba yake mpigieni mumpongezezZ!! Au kama vipi tupa makomenti... Kwani siku yake muhimu maishani.... Blogu hii na wadau wake wa ukweli inakutakia kila la kheri katika harakati za maisha yako Inshahlah Mwenyezi Mungu akujazie kheri kwa kila jema ulipangalo.
Tupe maoni yako
hongera lakini nguo yakoo unakwenda uchi,vaa nguo ya heshima katika siku yako muhimu
ReplyDelete