ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, November 29, 2011

TWANGA PEPETA YAZINDUA VIDEO MPYA DUNIA DARAJA

Baada ya Kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na uzinduzi wa albamu mpya ya 11 inayoitwa Dunia Daraja Bendi ya Twanga Pepeta Inakuletea video yao mpya ya single yao inayoitwa Dunia DarajaKutokana na maombi mengi ya washabiki Twanga Pepeta itafanya Show ya pili siku ijumaa Tarehe 2 Desemba 2011 katika mji wa Milton Keynes kwenye ukumbi wa Golden Lounge, Unit 35 Barton Road, Bletchley Milton Keynes. MK2 3UH

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.