Chungulia VIDEO hii ujionee jinsi shangwe zilivyotawala kila kona. Jana ilikuwa siku nzuri kwa wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake kwani walikusanyika katika viwanja vya Furahisha kuimba na kuabudu. New Life Band kutoka Arusha wakishirikiana na Vijana waimbaji wa makanisa mbalimbali Mwanza walijumuika pamoja katika hili nakuzipaza sauti zao. Mashuhuda toka pande mbalimbali walihudhuria tukio hili jema. Moto usio zimika uliwashwa...... Ukashika kila pande nao vijana wakapaza sauti zao kumsifu mungu. Kiongozi wa New life Band akitoa shukurani kwa viongozi wa Makanisa walioshiriki kufanikisha tukio hilo la kipekee.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.