Ni mchana majira ya saa saba na dakika 45 wanafunzi wa moja ya shule kata ya Isangijo Wilayani Meatu wakitoka kuteka maji umbali wa kilometa tano kwaajili ya matumizi kwa nyumba ya mwalimu.
Mawasiliano yakitafutwa eneo la mwinuko.
Mawasiliano yamepatikana.
Chakula mashuleni.
tathimini zinaonyesha kuwa ni ukweli usiofichika mradi wa chakula mashuleni umechangia kunyanyua kwa kiwango kikubwa mahudhurio ya watoto.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.