ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 26, 2011

FM AKADEMIA WANG'ARISHA WIKIENDI YA BANA MWANZA, WATOA BURUDANI FULL KIWANGO

Dance la Fm Akademia.

Ni burudani tu sauti za ukweli na wana ngwasuma.

Rapa Kalala Jurnior shughulini..

Flowerz..

Style MUPYA':- HEEEEE-HE! hee! HEEEEE-HE! hee!

Kisha stape two PA-PA-PA....-!!

Hawa ndiyo wazee wa Mujini.

Cheki yule, cheki yule!!

Mzee wa Ngwasuma toka Majour Drill (katikati), akiwa na Prezidar wa Vijana Nyoshi el Saadat (kulia) na Kalala Jurnior.

Masawe naye alikuwepo.

Ze Crowd at Golden Crest Hotel Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.